SCHEMES OF WORKS
Habari mwalimu,
Karibu utizame scheme hapa na unaweza kupakua na kuedit ukapata kuwasaidia na wengine.
Gusa link hii hapa chini kuingia kwenye file la schemes.
Pia kwa wanafunzi wa ualimu ni rahisi kutumia format hii au mfano wake katika kuandaa schemes wakiwa Teaching Practice.
Imepandishwa na Dr. Ramaa.
Wasiliana nasi kwa
0777310772
0782692083
Mimi ni mwalimu.
Wewe je?


Comments
Post a Comment