KHUTBA ZA SWALA YA IJUMAA

 Assalaam alaykum warahmatuLLAAH wabarakaatuh 

Ndugu zangu katika iymaan, sikilizeni katika khutba hizi Ambazo nimezitoa ndugu yenu katika iymaan. Khutba hizi zimetolewa katika misikiti tofautitofauti ndani ya Zanzibar. 


Kisha niombeeni dua ndugu yenu ALLAAH anihifadhi na anipe rehema zake.

Ili kusikiliza au kupakua (download) khutba bofya hapa chini:

SIKILIZA KHUTBA ZA DR. RAMAA HAPA

Kwa mawasiliano zaidi

Piga namba 

0777310772

0782692083

Dr. Ramaa.

Comments

Popular Posts